Monday, November 28, 2016

zari aweka hadaharani jinsi anavyomenda mume wake diamond

Zari akiri hadharani jinsi anavyompenda ‘mume’ wake Diamond | Bongo5.com
http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2016/10/928X90.gif

Zari akiri hadharani jinsi anavyompenda ‘mume’ wake Diamond



Mapenzi ya Diamond Platnumz na Zari The Boss Lady yanaonekana kuwa imara kadri siku zinavyokwenda, kutokana na jinsi mastaa hao wanavyozidi kuudhihirishia ulimwengu jinsi wanavyopendana.

zarimond-1

Baada ya kumpata mtoto wao wa kwanza pamoja Princess Tiffah, couple hiyo imeendelea kushare na ulimwengu kupitia mitandao ya kijamii jinsi wanavyojiandaa kuja kuungana kuwa kitu kimoja hapo baadaye.

zarimond-2

Licha ya kupost picha nyingi zinazodhihirisha upendo wao, Zari ambaye ni mama wa watato wanne hakusita kukiri hadharani jinsi anavyompenda Diamond ambaye humuita mume wake.

Kupitia Instagram alipost picha ya Diamond na kuandika;

“Have I ever told u how much I love this man. My hubby……”

zari kuhusu mondi

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Add a comment

comments

No comments:

Post a Comment