Monday, November 28, 2016

Ali kiba na Sauti sol walivyojiwa na waandishi habari

Picha: Alikiba na Sauti Sol walivyozungumza na waandishi wa habari | Bongo5.com
http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2016/10/928X90.gif

Picha: Alikiba na Sauti Sol walivyozungumza na waandishi wa habari



Tuzo za MTV MAMA huwa na shughuli nyingi za awali siku moja kabla ya usiku wenyewe wa utoaji ambao kwa mwaka huu ni Jumamosi hii. Ijumaa Alikiba na maswahiba wake wa Kenya, Sauti Sol wanaowania pamoja tuzo hiyo, walizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na ushirikiano wao na mambo mengine. Hizi ni baadhi ya picha hizo.

4eece476-aba6-4fcd-9d40-c1191770181e

Member wa kundi la Sauti Sol, Savara (wa pili kulia) akielezea jambo mbele ya waandishi wa habari

84fe651e-6fe4-4cf4-800f-dd93ab8dad97

Member , mpiga gitaa na producer wa kundi la Sauti Sol, Fancy Fingers (wa kwanza kushoto) akisisitiza jambo

94a8b324-99e0-49a1-b29a-6e2e4e51e75b

Alikiba akielezea jambo kwa waandishi wa habari

5135d97a-c2c1-4d25-8c26-2c96f26f4299

Alikiba akiwa na furaha tele kuzungumza na waandishi wa habari, Ijumaa hii jijini Jozi

e8b85083-724b-47f2-a904-a3ecccbba469

e54dcd16-07d0-442c-93a5-60f28428b4f2

e1285560-4359-40d0-8dab-082a9334e7c7

f0f5b46b-e89b-4a36-91aa-c7d169e7cef9

f6cc9ac6-d48a-4333-bc81-c9bc1d7aaea1

f61692ad-7318-4e2e-8611-3986afc38f38

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Add a comment

comments

No comments:

Post a Comment