Sunday, November 27, 2016

Afande adai 20% ateswa

  ØeðRexRe`ReÈ4iRe Í»:X   ÿÿÿÿÿÿÿÿu1  éÙ Afande adai 20 Percent anateswa na tuzo 5 za Kili | Bongo5.com
http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2016/10/928X90.gif

Afande adai 20 Percent anateswa na tuzo 5 za Kili



Msanii mkongwe wa muziki kutoka Morogoro Afande Sele, amesema 20 Percent anateswa na tuzo tano za Kili Music Awards alizochukua mwaka 2011 ndio maana kila akitoa wimbo unashindwa kufanya vizuri.
Afande-Sele-nzuri_full

Akizungumza katika kipindi cha Enewz cha East Africa Television Alhamisi hii, Afande amesema 20 Percent toka achukue tuzo, ameshindwa kabisa kurudi kwenye muziki.

“Ni kweli zinamtesa mimi naamini hivyo. Kwa hiyo nathubutu kusema zimemtesa na zinaendelea kumtesa,” alisema Afande.

20 Percent ameshajaribu kutoa nyimbo kadhaa lakini zimeshindwa kuteka hisia za mashabiki wake kama nyimbo zake za zamani.

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Add a comment

comments

No comments:

Post a Comment