Sunday, November 27, 2016

Afande sele atoa ujumbe kwa wazazi

x VÎ:X ÿÿÿÿ ÿÿÿÿÿÿÿÿÿÿÿÿÿÿÿÿÈ  ÀÎT }Ù OK text/html UTF-8 gzip ÈiU }Ù ÿÿÿÿ Sun, 27 Nov 2016 12:13:44 GMT   ØeðRexRe`ReÈ4iRe RÎ:X   ÿÿÿÿÿÿÿÿT2  }Ù Afande Sele atoa ujumbe kwa wazazi | Bongo5.com
http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2016/10/928X90.gif

Afande Sele atoa ujumbe kwa wazazi



Tangu mfalme wa rhymes Afande Sele atangaze kuwania ubunge mwaka 2015, amekuwa akiitumia sana Facebook kutoa ujumbe maridhawa wa mabadiliko.

Alhamis hii rapper huyo ambaye jina lake halisi ni Seleman Msindi amewashauri wazazi kuwajengea watoto wao msingi wa mapema kuhusu chanzo cha umaskini nchini.

“Tujenge misingi mpaka kwa watoto wetu kuwa umasikini tulionao, unaletwa na wachache!! Na hatutaki wala hatupendi kuona wao wakiwa na maisha mabovu, ndio maana namuonyesha njia sahihi, ili wakati wake ukifika asihadaike”, ameandika Afande.

Katika ujumbe huo Afande pia amesema, “kuna wakati maamuzi madogo sana yanaweza badilisha maisha yetu daima!! Hakuna ubaya kuhitaji mabadiliko, kama yatakua katika njia sahihi.”

Ni mrefu tangu msanii huyo mkongwe aliyetamba na ngoma kama ‘Darubini’ na ‘Mtazamo’ hajahit kwenye radio jambo ambalo limemfanya avitupie lawama baadhi ya vyombo vya habari kuwa vinauua muziki wa Tanzania kwa kupendelea wasanii wachache.

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Add a comment

comments

No comments:

Post a Comment