18 mei wema kurudi mahakamani
Aliyekuwa miss mwaka 2006 na mwiugizaji wa filamu Tanzania, Wema Sepetu anatarajia kurudishwa tena mahakamani mei 18 kwaajili ya kusomewa mashata yanayomkabili kwa madai ya kumtukana mwanamuziki Rummy ‘Rais wa Masharobaro’ mnamo April 11 saa 12;38 jioni huko Kinondoni.
Kesi hiyo ambayo Wema atakuja kusomewa mashitaka ya awali, hapo mwanzo alikubali mashitaka mbele ya hakimu Maliam Masamalo na karani wake Sharifa Dunia, na kugewa dhamana baada ya kukubali kosa kweli amemtukana na kudai kwamba ni hasira tu .