Mtoto wa Bilionea wa China amnunulia mbwa wake iPhone 7 nane!
Wang Sicong, mtoto wa bilionea wa China, Wang Jianlin (mwenye utajiri wa dola bilioni 30), amemnunuliaa simu mpya, iPhone 7, nane mbwa wake.
![]()
Mbwa huyo aitwaye, Coco ameonekana kwenye picha za akaunti yake ya mtandao wa Weibo akiwa na simu zake hizo. “I don’t understand all the show-off posts on (social media),” yanasomeka maneno kwenye picha hiyo. “What’s the point? Don’t make me do it?”
![]()
China, simu hizo $1,047.
![]()
Hii si mara ya kwanza Wang kumnunua mbwa wake kitu cha thamani. Mwaka 2015, alipost picha za mbwa wake akiwa Apple Watches zenye thamani ya $37,000.
![]()



