Monday, November 28, 2016

Miss Universe 2016 adai hayupo katakia mahusuiano ya kimapenzi

Miss Universe 2016 Jihan adai hayupo kwenye mahusiano ya mpenzi ‘am really focused on my career’ | Bongo5.com
http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2016/10/928X90.gif

Miss Universe 2016 Jihan adai hayupo kwenye mahusiano ya mpenzi ‘am really focused on my career’



Miss Universe 2016 na mshindi wa tatu wa Miss Tanzania 2014, Jihan Dimach amesema kwa sasa hayupo kwenye mahusiano ya mapenzi akidai kuogopa kuharibiwa malengo yake.
jihan
Jihan

Akiongea na Bongo5 Jumamosi hii, Jihan amesema wasichana wengi wanaaribika kutokana na ‘kiki’ pamoja na mambo yakubadili wanaume kila mara wakiamini wanapata kiki.

“Mimi sio mtu wa ‘kiki’ na sipendagi skendo naona kama zinachafua career yangu kiukweli siwasemei wengine lakini kama unataka kuendelea na career hii lazima ukae mbali na mambo hayo,” alisema Jihan. “kusema kweli sipo kwenye mahusiano am really focused on my caree kwa sasa,”

Jihan amesema anaamini ili afanikiwe ni lazima afanye kwanza kitu kilichomsimamisha kwenye mitindo ndipo baadae afanya mambo mengine.

Mrembo huyo anatarajia kuiwakilisha Tanzania katika mashindano makubwa ya urembo duniani Miss Universe ambayo yatafanyika mapema kwakani.

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Add a comment

comments

No comments:

Post a Comment