Monday, November 28, 2016

Habari Njema Kwa washabiki wa bayern kuhusu Ribery

!DOCTYPE html> Habari njema kwa mashabiki wa klabu FC Bayern kuhusu Ribery | Bongo5.com
http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2016/10/928X90.gif

Habari njema kwa mashabiki wa klabu FC Bayern kuhusu Ribery



Mchezaji wa klabu ya FC Bayern, Franck Ribery amesaini mkataba mpya na klabu yake ya soka ya FC Bayern, ni ongezeko la mwaka mmoja.

cyte-yhuaaaia2r-jpg-large-840x420

“Hii klabu na huu mji umekuwa ni nyumbani kwangu nje na ndani ya dimba!” alisema haya wakati akihojiwa baada ya kusaini nao.
Kwa mkataba huu sasa atakuwa nao mpaka mwaka 2018, hii ni habari njema kwa mashabiki wa klabu FC Bayern.

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Add a comment

comments

No comments:

Post a Comment