Sunday, November 27, 2016

alikiba

x ÿ¼:X ÿÿÿÿ ÿÿÿÿÿÿÿÿÿÿÿÿÿÿÿÿÈ  ¸ŽU Ðì OK text/html UTF-8 gzip íU Ðì ÿÿÿÿ Sun, 27 Nov 2016 11:00:37 GMT   ØeðRexRe`ReÈ4iRe ù¼:X   ÿÿÿÿÿÿÿÿ»4  Ðì Alikiba anaamini kutoa nyimbo nyingi ni kutojiamini | Bongo5.com
http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2016/10/928X90.gif

Alikiba anaamini kutoa nyimbo nyingi ni kutojiamini



Hitmaker wa Mwana, Alikiba amedai yeye anaamini kutoa nyimbo mara kwa mara ni kutokujiani na ufujaji wa kipaji.

alikiba1

Muimbaji huyo ambaye amekuwa akishinikizwa na mashabiki wake kuachia wimbo mpya ikiwa ni miezi kadhaa toka aachie video ya wimbo ‘Cheketua’, alikiambia kipindi cha The Sporah Show cha Clouds TV kuwa yeye akitoa kazi yake moja ina uwezo wa kukaa sokoni kwa muda mrefu.

“Fans don’t worry about me, kitu ambacho nafanya ‘New Kiba New Year’ ni kutaka kwenda sawa na nyie. Lakini nilikua nataka mnielewe kutoa nyimbo kila dakika ni umalizaji wa talent yako au kutokujiamini au talent yako fupi au una jaribu. Mimi najiamini kwa kitu ambacho natoa na ni muda gani natakiwa kurudi tena,” alisema.

Aidha, Alikiba aliwataka watu kuacha kumfananisha na wasanii wengine kwakuwa yeye anafanya vitu tofauti na wengine.

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Add a comment

comments

No comments:

Post a Comment